Thursday, 14 April 2016

OFA MAALUMU YA KUCHIMBIWA KISIMA.

OFA  MAALUMU YA KUCHIMBIWA KISIMA.

KUTOKANA NA  MAOMBI YA WAHITAJI YA WATU WANAOHITAJI KISIMA TUMEONA TUTOE OFA MAALUMU YA KUCHIMBIWA KISIMA.

TUNATOA OFA MAALUMU KWA WATU AMBAO WATAHITAJI KUCHIMBIWA KISIMA KATIKA JIJI LA DAR,MKOA WA PWANI,MOROGORO NA TANGA.

TUNATOA HUDUMA ZA AINA ZIFUATAZO KWENYE OFA HII.

1.TUNAKUTENGENEZEA KARAVATI.
2.TUNAKUCHIMBIA KISIMA CHA UREFU WA FUTI 75.
3.UKIWA NA PAMPU PAMOJA TANKI LAKO TUTAKUUNGANISHIA MIFUMO YA MAJI.

HUDUMA HIZI TUTAZITOA KWA GHARAMA NDOGO YA MILIONI 2.5.

KUMBUKA KISIMA HIKI NI KISIMA CHA KIENYEJI LAKINI UTENDAJI WAKE NI KISASA.

KISIMA HIKI KINADUMU MIAKA ZAIDI YA 300.

KWA MAWASILIANO YA KUPATA HUDUMA HII.

0784  999 995.

0654 768 400.

Soma na Hizi Hapa:

  • BUSTANI ZA NYUMBANI.TANGAZO  TANGAZO  TANGAZO. ILE KAMPENI YA UFUNDISHAJI WA BUSTANI ZA NYUMBANI NYUMBA KWA NYUMBA BADO INAENDELEA. ELIMU HII TUNAIFANYIA NYUMBA… Soma Zaidi
  • ZAO LA EMBE.MAEMBE NI UTAJIRI MKUBWA Waswahili husema eti rizizki ya Mbwa ipo miguuni mwake,usemi huu unamaana kuwa riziki ya mtu ipo katika nafasi aliyo nayo na … Soma Zaidi
  • MAGONJWA YA NYANYA.MAGONJWA YA NYANYA DALILI NA UTHIBITI WAKE. 1.Dalili za madoa yatokanayo na bakteria hutokea kwenye majani, matawi na kwenye matunda ya nyanya.  … Soma Zaidi
  • UFUGAJI WA SAMAKI.UFUGAJI WA SAMAKI. 1.Mambo yakuzingatia wakati wakuchagua eneo kwaajili ya ufugaji samaki. I. Aina ya udogo: hili nijambo muhimu kwani aina ya udogo h… Soma Zaidi
  • UJENZI WA MABANDA BORA YA KUKU.KANUNI ZA MSINGI ZA UJENZI WA MABANDA YA KUKU WA NYAMA KUKU 1,000 - 10,000 (UFUGAJI WA KIWANGO CHA KATI) ...mwendelezo... [[ Kwa wajasiliamilia wenye … Soma Zaidi

0 comments:

Post a Comment

Jiunge Nasi Facebook

Zilizosomwa Zaidi

Pages

Powered by Blogger.