Monday, 11 April 2016

TUNACHIMBA KISIMA CHA KALVATI.


TUNACHIMBA KISIMA CHA KARAVATI.

VISIMA HIVI TUMEVIBORESHA KWA KUWEKA MIFUMO YA KISASA KATIKA MATUMIZI.

KWAHIYO KIMUONEKANO KINAONEKANA CHA KIENYEJI ILA KIUTENDAJI NI CHA KISASA.

KISIMA TUNAKUCHIMBIA KWA BEI NAFUU SANA NA HUWEZI PATA SEHEMU YOYOTE ILE.


KISIMA HIKI KINAFAA KWA MATUMIZI YOYOTE YALE.

KWA MFANO.

WATU WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI,KWA MATUMIZI YA NYUMBANI,KWA BIASHARA YA KUUZA MAJI,WAFUGAJI WA KUKU,SAMAKI,NK.


BEI ZETU KWA UWIANO.

(1).TUNAKUCHIMBIA KISIMA,TUNAKUPATIA PAMPU NDOGO,TUNAKUPATIA TANKI LT 1000.

(2).TUNAKUSHIMBIA KISIMA,TUNAKUPATIA PAMPU NDOGO.

(3).TUNAKUCHIMBIA KISIMA TU.

WATU WA MIKOANI NA NCHI ZA JIRANI WAO WATAGHARAMIA KUTUSAFIRISHA NA HUDUMA ZOTE ZA MARADHI KWA MDA WOTE.

WATU WALIOPO DAR WAO WATAHUSIKA NA KUSAFIRISHA MASHINE ZETU ZA KUTENGENEZEA KARAVATI.

UTACHAGUA SASA WEWE UNATAKA HUDUMA IPI KISHA TUPIGIE SIMU AU SMS KWA NAMBA HIZI.GHARAMA ZETU NI NAFUU SANA.TUTAFUTE TAFADHARI.

0784 999 9950784 999 995.

0654 768 400.

0 comments:

Post a Comment

Jiunge Nasi Facebook

Zilizosomwa Zaidi

Pages

Powered by Blogger.